kilimo ni uti wa mgongo kwa kila mtanzania kwahiyo ndugu zangu tuweke kilimo kiwe kipawa mbele maana kilimo ndio chanzo cha kukuza uchumi kwa mtanzania.
moja ya hatua za kilimo ni kama zifuatazo:
1.hii ni hatua ya kwanza ya kilimo cha
mahindi watu wakiandaa shamba.
2.hii ni hatua ya pili baada yashamba kua tiali kutumika kwa ajili ya kupanda mahindi
3.hatua hii mahindi yameshaoteshwa yako kwenye hatua palizi ni mahindi mazuri sana kabisa.
4. katika hatua hii tunaona ndugu zetu wakiwa wanapalilia mahindi shambani jamani tufanye palizi mapema.
5.katika hatua hii tunaona kabisa wataalam wakiwa wanaangalia jinsi mahindi yalivyo stawi vizuri.
6.Katika hatua hii tunaona ndugu zetu wakiwa kwenye palizi la awamu ya pili.
7.Hatua hii inaonesha dhahiri kua mahindi yanaelekea kukomaa kabisa nayakiwa yamesha chanua.
8.Hizi ni moja ya dhana zinazotumika katika kilimo hapa nchini, kwahiyo tupende kutumia dhana hizi.
9.Hii Hatua mahindi yakiwa yanaelekea kukomaa yakiwa yamepogolewa majani ya kwenye shina.
10.Kwenye Hii Hatua tunaona mahindi yakiwa yameanikwa kwa ajili ya matumizi kwa binadamu.
ndungu zangu tufanye kazi kwa bidii ili tuinue kipato cha uchumi wa nchi yetu ya Tanzania
pia kwa ndugu zetu wasomi napenda kuwakumbusha tusome kwa bidii ili nchi yetu iwe na wasomi
ambao niwa kimataifa wasiwe wasomi wa kubumba. asanteni kwa ushirikiano wenu mungu awabariki sana.









Hakuna maoni:
Chapisha Maoni